KUITWA KWENYE USAILI Muhimbili University of Health and Allied Sciences

The Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) started as the Dar es salaam Medical School in 1963. The school then transformed into the faculty of medicine of the University of Dar es Salaam that in 1991 was upgraded and became a college–the Muhimbili University College of Health Sciences (MUCHS).

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 4-8 Novemba, 2017 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo
yafuatayo:-

GONGA HAPA 
Source: Tanzania Jobs